Magari yakiingia mbugani
Moto Mkubwa uliowashwa kwenye misitu
ya Hifadhi ya Mbuga za Wanyama Mikumi ukiendelea kupamba moto hadi eneo
la Barabara kuu ya Morogoro-lringa iliyokatiza ndani ya hifadhi hiyo. Pichani basi dogo la abiri likikatiza kwenye moto huo jambo ambalo ni hatari
Magari yamelazimika kuwasha taa mchana kufuatia moshi mkubwa kutanda kwenye barabara hiyo
Awari wanyama walioneka kando kando
mwa barabara hiyo lakini kutokana na moto huo mkubwa wanyama hao
wamekimbia eneo hilo la barabara,
Haikufahamika sababu za wahusika kuchoma moto Hifadhi hiyo