Picha: Ndege ya Malaysian Airlines MH17 yadunguliwa na kuuwa abiria wote 295

Ndege ya abiria ya shirika la Malaysian Airlines yenye namba MH17 aina ya boeing 777 imeanguka katika eneo la mpaka wa Urusi na Ukraiane... thumbnail 1 summary
Ndege ya abiria ya shirika la Malaysian Airlines yenye namba MH17 aina ya boeing 777 imeanguka katika eneo la mpaka wa Urusi na Ukraiane, na kusababisha vifo vya abiria wote 295 waliokuwemo kwenye ndege hiyo.
m1 Mabaki ya ndege hiyo katika eneo la ajali
Ndege hiyo iliyokuwa ikitokea Amsterdam kuelekea Kuala Lumpur inadaiwa kuwa imedunguliwa na waasi.
Mashuhuda waliofika eneo la tukio hilo wamesema kuwa miili imesambaa katika umbali wa km 15.
Rais wa Ukraine alielezea tukio hilo kuwa ni tendo la kigaidi huku waasi wakikanusha kuidungua.
m66
m2
m3
m4
m5
m6
m7
m8
m9
m10
m11
m12
m13
m14
m15 Ndege ya MH17 ilipokuwa ikitoka uwanja wa ndege Schiphol , Amsterdam masaa machache kabla haijadunguliwa Ukraine
Source: Daily Mail