UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 12/07/2014.

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA ... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 12/07/2014.
 

[Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi na mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mkoa wa Mara na Kagera]:


Hali ya mawingu kiasi na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Kigoma, Tabora, Rukwa, Dodoma  na Singida]:
[Mikoa ya Morogoro, Mtwara, Lindi na Ruvuma]:
[Mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Geita na Simiyu]:
[Mikoa ya Mbeya, Iringa, Njombe na Katavi]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
ANGALIZO
UPEPO MKALI UNAOFIKIA KM 40 KWA SAA NA MAWIBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2.0
   YANATARAJIWA KATIKA UKANDA WOTE WA PWANI NA ZIWA VICTORIA:
                                                      

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
20°C
12°C
12:42
12:36
D'SALAAM
30°C
19°C
12:37
12:19
DODOMA
25°C
13°C
12:49
12:35
KIGOMA   
30°C
17°C
01:11
01:01
MBEYA
18°C
04°C
01:03
12:39
MWANZA
28°C
16°C
12:55
12:51
TABORA
28°C
13°C
12:59
12:49
TANGA
29°C
21°C
12:34
12:24
ZANZIBAR
28°C
23°C
12:37
12:19

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 40; kutoka Kusini kwa saa kwa Pwani ya kaskazini na kutoka Kusini-Mashariki kwa saa kwa Pwani ya kusini.

Hali  ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa.

Matazamio kwa siku ya Jumatatu 14/07/2014: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 12/07/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.