UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 15/07/2014.

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI Y... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 15/07/2014.


[Mikoa ya Kigoma, Tabora, Rukwa, Dodoma  na Singida]: [Mikoa ya Kagera,Mara,Mwanza,Shinyanga,Geita na Simiyu]:
[Mikoa ya Morogoro, Mtwara, Lindi na Ruvuma]:
[Mikoa ya Mbeya, Iringa, Njombe na Katavi]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Dar es Salaam, Tanga na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

ANGALIZO
UPEPO MKALI UNAOFIKIA KM 40 KWA SAA NA MAWIBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2.0 YANATARAJIWA KATIKA UKANDA WOTE WA PWANI.
                                                       
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
22°C
14°C
12:42
12:36
D'SALAAM
30°C
19°C
12:37
12:19
DODOMA
27°C
14°C
12:49
12:35
KIGOMA   
28°C
16°C
01:11
01:01
MBEYA
24°C
10°C
01:03
12:39
MWANZA
30°C
16°C
12:55
12:51
TABORA
31°C
14°C
12:59
12:49
TANGA
28°C
22°C
12:34
12:24
ZANZIBAR
29°C
24°C
12:37
12:19

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi ya km 40 kwa saa kwa ukanda
                              wote wa Pwani.

Hali  ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa.

Matazamio kwa siku ya Alhamisi 17/07/2014: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 15/07/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.