UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 17/07/2014

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI Y... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 17/07/2014.

[Mikoa ya Pwani, Dar es Salaam na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi, Mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Kagera na Mara]:
Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Mwanza, Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Mbeya, Kigoma, Iringa, Njombe na Katavi]:
[Mikoa ya Morogoro, Mtwara, Lindi na Ruvuma]:
[Mikoa ya Simiyu, Tabora, Dodoma  na Singida]:
[Mikoa ya Rukwa, Shinyanga na Geita ]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
22°C
15°C
12:42
12:36
D'SALAAM
31°C
20°C
12:37
12:19
DODOMA
26°C
15°C
12:49
12:35
KIGOMA   
30°C
19°C
01:11
01:01
MBEYA
21°C
06°C
01:03
12:39
MWANZA
30°C
20°C
12:55
12:51
TABORA
28°C
09°C
12:59
12:49
TANGA
29°C
22°C
12:34
12:24
ZANZIBAR
30°C
24°C
12:37
12:19

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa kutoka Kusini kwa ukanda
                               wa Pwani ya Kaskazini na Kusini kwa ukanda wa pwani ya Kusini.

Hali  ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa kiasi.

Matazamio kwa siku ya Jumamosi 19/07/2014: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 17/07/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.