WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24
ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 19/07/2014.
[Mikoa ya Kagera, Mwanza,
Mara na Kigoma]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi,
ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
[Mkoa wa Tanga]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, Mvua
nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Tabora, Simiyu,
Geita na Shinyanga]:
[Mikoa ya Katavi, Rukwa, Dodoma
na Singida]:
[Mikoa ya Ruvuma, Iringa, Mbeya
na Njombe]:
[Mikoa ya Dar es Salaam,
Pwani na Morogoro]:
[Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Mtwara na Lindi]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA
JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Kiwango
cha chini cha joto
|
Mawio
(Saa)
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
22°C
|
12°C
|
12:42
|
12:36
|
D'SALAAM
|
30°C
|
20°C
|
12:37
|
12:19
|
DODOMA
|
28°C
|
16°C
|
12:49
|
12:35
|
KIGOMA
|
31°C
|
15°C
|
01:11
|
01:01
|
MBEYA
|
25°C
|
12°C
|
01:03
|
12:39
|
MWANZA
|
30°C
|
19°C
|
12:55
|
12:51
|
TABORA
|
30°C
|
17°C
|
12:59
|
12:49
|
TANGA |
30°C
|
22°C
|
12:34
|
12:24
|
ZANZIBAR
|
29°C
|
22°C
|
12:37
|
12:19
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki;
kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani ya kaskazini na kwa kasi ya km 30
kwa saa kwa Pwani ya kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Madogo
hadi Makubwa Kiasi.
Matazamio kwa siku ya Jumatatu
21/07/2014: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 19/07/2014.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.