UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 22/07/2014.

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI Y... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 22/07/2014.

[Mikoa ya Geita, Kagera na Mara]:

Hali ya mawingu kiasi na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.


[Mikoa ya Morogoro kusini (Mahenge), Mtwara na Tanga]:
[Sehemu za miinuko ya Mbeya na Njombe]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:


Hali ya mawingu kiasi na mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Dodoma, Dar es Salaam , Pwani na Lindi]:
[Mikoa ya Singida, Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Katavi, Rukwa, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Ruvuma, Iringa, Mbeya na Njombe]:
[Mikoa ya Tabora, Simiyu na Kigoma]:
]Mkoa wa Morogoro kaskazini]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
24°C
15°C
12:42
12:38
D'SALAAM
32°C
19°C
12:37
12:21
DODOMA
28°C
16°C
12:50
12:36
KIGOMA   
29°C
18°C
01:12
01:01
MBEYA
23°C
08°C
01:03
12:41
MWANZA
29°C
17°C
12:55
12:53
TABORA
30°C
16°C
01:00
12:50
TANGA
30°C
22°C
12:35
12:25
ZANZIBAR
30°C
23°C
12:37
12:21

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini kwa kasi ya km 40 kwa saa kwa Pwani yote.

Hali  ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa.

Matazamio kwa siku ya Alhamis: 24/07/2014: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 22/07/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.