VIDEO: RAIS JAKAYA KIKWETE NA MKEWE MAMA SALMA WAKATIZA MTAANI NA KUNUNUA NG'ONDA

Rais Jakaya Kikwete ameonekana akikatiza mitaani kuhemea mahitaji ya familia yake, ambapo aliongozana na mkewe Mama Salma. video hapo chini ... thumbnail 1 summary
Rais Jakaya Kikwete ameonekana akikatiza mitaani kuhemea mahitaji ya familia yake, ambapo aliongozana na mkewe Mama Salma. video hapo chini inamuonyesha akiwa kwenye kivuko kuelekea Kigamboni ambako alifanya matembezi na manunuzi hayo.