Auric Air yaanzisha safari mpya za ndege kati ya Mwanza-Entebe na Bukoba-Entebe Uganda

Shirika la ndege la Auric Air limetangaza kuanzisha safari zake kati ya Mwanza kwenda Entebe Uganda, na kutoka Bukoba kwenda Entebe Ugand... thumbnail 1 summary
Shirika la ndege la Auric Air limetangaza kuanzisha safari zake kati ya Mwanza kwenda Entebe Uganda, na kutoka Bukoba kwenda Entebe Uganda kuanzia Septemba mosi mwaka huu 2014.

Kupitia ukurasa wake wa facebook imeandika kuwa:

"Starting 01 September 2014, Mwanza to Entebbe at $170 (inclusive of International Departure Taxes), Bukoba to Entebbe at $125 (Inclusive of International Departure Taxes)"