PICHA: HARUSI YA DOTTO KAHINDI NA ELIZABETH NGUMA ILIYOFANYIKA BIHARAMULO

Baada ya kuwa marafiki kwa zaidi ya miaka minane Dotto Paul Kahindi (Mandolin) na Elizabeth Riziki Morris Nguma, Agosti 9, 2014 Mungu amewa... thumbnail 1 summary
Baada ya kuwa marafiki kwa zaidi ya miaka minane Dotto Paul Kahindi (Mandolin) na Elizabeth Riziki Morris Nguma, Agosti 9, 2014 Mungu amewajalia kufunga pingu za maisha kwenye kanisa la Katoliki Parokia ya Mt. Francis wa Assis, mjini Biharamulo, Kagera.

Dotto Paul Kahindi (Mandolin) na mkewe Elizabeth Morris Nguma katika pozi muda mfupi baada ya kufunga ndoa kwenye Kanisa Katoliki Parokia ya Mt. Francis wa Asis, Biharamulo, Kagera.
Mr&Mrs Dotto na wapambe wao Mr&Mrs Frank katika pozi muda mfupi baada ya kufunga ndoa kwenye Kanisa Katoliki Parokia ya Mt. Francis wa Asis, Biharamulo, Kagera.
Bibi Harusi akiwa na mpambe wake katika pozi muda mfupi baada ya kufunga ndoa kwenye Kanisa Katoliki Parokia ya Mt. Francis wa Asis, Biharamulo, Kagera
Mr&Mrs Dotto, wapambe wao Mr&Mrs Frank, pamoja na wasimamizi wa ndoa hiyo Mr&Mrs Wema Rusasa katika pozi muda mfupi baada ya kufunga ndoa kwenye Kanisa Katoliki Parokia ya Mt. Francis wa Asis, Biharamulo, Kagera
Bibi Harusi na Mameid

Mr&Mrs Dotto (Mandolin) na wapambe wao Mr&Mrs Frank katika picha ya pamoja na wazazi wa pande zote mbili
Maharusi wakiwa na wapambe wengine
Bwana harusi ni Baunsa sana tu
Mr&Mrs Dotto Paul (katikati) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya ndugu zao, kutoka kulia ni Mdogo wa bwana harusi Samweli, Kaka wa bibi harusi Deogratius, kaka wa bwana harusi Peter Kulwa na kaka wa bibi harusi Raygan
Bwana Harusi Dotto Paul na Bibi Harusi Elizabeth Riziki wakila kiapo wakati wa misa ya ndoa iliyofanyika kwenye Kanisa Katoliki Parokia ya Mt. Francis wa Asis, Biharamulo, Kagera
Tumepokea vyeti

Mr&Mrs Dotto Paul wanameremeta
Mr&Mrs Dotto Paul katika picha ya pamoja na kamati ya harusi yao iliyofanyika kwenye ukumbi wa Rest mjini, Biharamulo, Kagera
Utambulisho
Wakati wa chakula
Mama wa bwana harusi Mary Charles Kahindi

Wakati wa zawadi