Video: Kutana na mzee anayeishi na Mamba huko Burundi

Kutana na mzee huyu anayefuga Mamba nyumbani kwake katika mtaa wa Gatumba mjini Bujumbura Burundi. Nini hasa kilichompelekea kuanz kufug... thumbnail 1 summary
Kutana na mzee huyu anayefuga Mamba nyumbani kwake katika mtaa wa Gatumba mjini Bujumbura Burundi.
Nini hasa kilichompelekea kuanz kufuga wanyama hawa hatari nyumbani kwake?
Chanzo: BBC Swahili