Ardhi ya Eneo la Bandari Ekari 100 na Lenye Historia ya Kale Kilwa,limeuzwa kwa Mwekezaji Milioni 20

Wakati Watanganyika wakifuatilia kwa Kwakaribu drama ya Katiba Mpya, huku serekali ikiwa imelala fofo. Eneo lenye ukubwa wa Ekari 100 l... thumbnail 1 summary
Wakati Watanganyika wakifuatilia kwa Kwakaribu drama ya Katiba Mpya, huku serekali ikiwa imelala fofo. Eneo lenye ukubwa wa Ekari 100 la bandari ya kale na lenye historia ya Majengo ya kale, limeuzwa kwa Shilingi Milioni 20. Mkuu wa Wilaya ya Kilwa alipohojiwa na TBC, kipindi Usiku wa Habari, alijibu kua hana Taarifa.
Hii imeniuma sana. Hivi sisi Watanganyika tume rogwa au vipi! Yaani tunaziba huku, huku wengine wanatoboa. Hii hali mpaka lini. Yaani wananchi wanarubuniwa kwa Milioni Ishirini wanatoa ardhi ya Ekari 100, yenye Majengo ya Asili???.

Source. TBC-Usiku wa Habari.