Picha: RC Kandoro adamka saa 11 asubuhi kuzungumza na wasafiri stendi kuu ya mabasi Mbeya

 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh, Abbas Kandoro akiongea na Madereva na Abiria leo asubuhi saa kumi na moja katika kituo Kikuu cha Mabasi ... thumbnail 1 summary
 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh, Abbas Kandoro akiongea na Madereva na Abiria leo asubuhi saa kumi na moja katika kituo Kikuu cha Mabasi Mbeya
 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi wa kwanza kulia akiwa katika mkutano huo

Baadhi ya Madereva, Abiria na ma Agent wa mabasi wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya
Mabasi yakianza kuondoka

Habari kamili itawajia hapo baadae

Picha na Mbeya yetu