Picha: Tembo aamua kuegamia na kulala juu ya gari dogo la watalii, unajua kilichotokea?

BALAA, tembo mmoja huko Afrika Kusini kwa maksudi kabisa aliamua kutumia gari la watalii kujikuna na kuegana, na kupita juu ya gari wakat... thumbnail 1 summary
BALAA, tembo mmoja huko Afrika Kusini kwa maksudi kabisa aliamua kutumia gari la watalii kujikuna na kuegana, na kupita juu ya gari wakati abiria wakiwa ndani ya gari hilo, ilikuwa ni hatari sana maana gari lilibonyea na kusababisha matairi kupasuka na vioo vya madirisha kuvunjika.

Baada ya Mr. Tembo kumaliza mbwembwe zake akaendelea na safari zake, watu waliokuwa ndani ya gari hawakuumia ila mapigo ya moyo yalikuwa yanakwenda mbio kama Bolt wa Jamaica. 

Jionee picha mwenyewe na upate picha ungekuwa wewe ungekuwa kwenye hali gani