Video: Utafurahi ukimwona mtoto wa mnyama Kiboko akifukuza ndege

Kuna stori nyingine ukizisikia bila kuona kwa macho yako huwezi kuamini na hata ukiamini huwezi kuipata picha kamili ya mkasa wenyewe ulivyo... thumbnail 1 summary
Kuna stori nyingine ukizisikia bila kuona kwa macho yako huwezi kuamini na hata ukiamini huwezi kuipata picha kamili ya mkasa wenyewe ulivyokuwa.

Sasa mtoto wa Kiboko baada ya kuona mama yuko bize jikoni akachepuka bana kwenda kucheza na ndege, utacheka, maana kiboko mnene lakini katingwa kufukuza ndege.

Mama yake alipogundua mwanaye kachepuka alitoka nje fasta na kumwambia arudi ndani, muda wa kucheza umekwisha, tazama video yenyewe nisimalize uhondo.
Baby Hippo Entertains Itself Chasing Birds by storyfulviral