Hawa hapa Mabinti wa Marais wa Afrika wanaotikisa mitandaoni

Kama unavyowaona kwenye picha hizo juu hao ni baadhi ya mabinti wa marais wa Afrika ambao wanatikisa sana katika mitandao mbali... thumbnail 1 summary

Kama unavyowaona kwenye picha hizo juu hao ni baadhi ya mabinti wa marais wa Afrika ambao wanatikisa sana katika mitandao mbalimbali kutokana na sifa zao tofauti

AngePaul Kagame 

Ni binti wa Rais wa Rwanda, Paul Kagame. Alizaliwa mwaka 1989. Kwenye mitandao amekuwa akisifiwa kuwa ni ndiye binti mrembo kuliko wengine.

Faith Sakwe Jonathan 

Huyu ni mtoto wa Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan. Amefunga ndoa Aprili, mwaka huu. Naye anatajwa na mitandao kwamba ni mrembo. 


Nyepudzayi Bona Mugabe 
Ana miaka 24. Ni binti wa Rais wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe. Ni binti aliyetikisa mitandaoni kutokana na mambombalimbali ya kijamii. Amefunga ndoa hivi karibuni 


Sifa Joseph Kabila
Amezaliwa mwaka 2001, baba yake ni Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Joseph Kabila. Anatajwa kuwa binti mtulivu na msikivu.
Ngina Uhuru Kenyatta 
Mwaka huu amekamata wa 23, baba yake ni Rais wa Kenya, Uhuru Jomo Kenyatta. Mitandao inamtaja kwamba ana mvuto, pia anaongoza kwa kuwa na marafiki wengi wa kike. 

Stella Mutale Sata
Baba yake ni Rais wa Zambia, Mutale Sata. Binti mwenyewe yupo poa sana kwa sasa ana miaka 20 tu

Diana Karuguire Museven 
Ni binti wa Rais wa Uganda, Joel Kaguta Museven. Amefunga ndoa. Mitandao inamtaja ni binti aliyetulia ndiyo maana akapigwa jicho na mwanaume na kufunga ndoa.