Picha: Lipia usafiri, malazi na chakula, mrembo huyu wa China atakuwa wako kwa muda!

Msichana mwenye miaka 19 kutoka China amemake headline kwa kutoa uroda kwa wanaume tofauti katika kila jiji analotembea. Anachotaka ni mwana... thumbnail 1 summary
Msichana mwenye miaka 19 kutoka China amemake headline kwa kutoa uroda kwa wanaume tofauti katika kila jiji analotembea. Anachotaka ni mwanaume huyo kumlipia tu usafiri na malazi.
Bed and Bawd
Msichana huyo ambaye ni mwanafunzi, Ju Peng, kutoka Shanghai, amepost tangazo online kuwa anataka ‘wapenzi wa muda’ ambao wanatakiwa kuwa na sura nzuri, miaka chini ya 30, warefu zaidi ya 1.75 metres na of course, wawe na mshiko.
Bed and Bawd
‘Watalipia usafiri wangu hadi katika mji wao na gharama zingine nikiwa huko na wanatakiwa kuwa wakarimu. Baada ya hapo watakuwa nami kwa usiku mzima, ntawajali na nafasi ya kuuza sura na kampani ya msichana mrembo’
Bed and Bawd
Hata hivyo watu wengine wamesema mpango ni umalaya na wameomba tangazo lake litolewe mtandaoni.
Bed and Bawd
Bed and Bawd