Majina ya hoteli duniani kote zilizoshinda World Travel Awards 2014 yametangazwa. Hoteli nne pekee kutoka Tanzania ndizo zilizoshinda na nyi...
21:54
Majina ya hoteli duniani kote zilizoshinda World Travel Awards 2014 yametangazwa. Hoteli nne pekee kutoka Tanzania ndizo zilizoshinda na nyingi zinapatikana Zanzibar. Hoteli hizo ni pamoja na: 1. Zanzibar Palace Hotel
2. Presidential Suite @ Diamonds La Gemma dell’ Est