UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 01/10/2014.

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI Y... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 01/10/2014.


[Mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Mara na Geita]:

Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.
[Mikoa ya Kigoma, Tabora na Kagera]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua

[Mikoa ya Dar es Salaam, Tanga, Pwani na Morogoro]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Njombe, Mbeya, Ruvuma na Rukwa]:
[Mikoa ya Iringa, Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:


Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
26°C               
16°C               
12:20
12:27
D'SALAAM
31°C           
20°C           
12:08
12:17
DODOMA
30°C
17°C
12:22
12:31
KIGOMA    
29°C
20°C
12:46
12:55
MBEYA
28°C
08°C
12:31
12:40
MWANZA
27°C
17°C
12:35
12:41
TABORA
33°C
20°C
12:34
12:43
TANGA
30°C
21°C
12:09
12:18
ZANZIBAR
30°C           
21°C           
12:08
12:17

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani
  ya Kaskazini na kwa kasi ya km 30 kwa saa kutoka Mashariki kwa Pwani ya Kusini.
                                   
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Madogo hadi makubwa kiasi

Matazamio kwa siku ya Ijumaa: 03/10/2014: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 01/10/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.