Picha: Mtazame Rihanna akiwa ametinga nguo ya KITENGE kwenye Ikulu ya Marekani 'White House'

Tukosoe kama hatupo sahihi, lakini hii nguo aliyovaa Rihanna inaweza kuwa imetengenezwa na kitenge. Kinachofurahisha zaidi ni kuwa nguo hiyo... thumbnail 1 summary
Tukosoe kama hatupo sahihi, lakini hii nguo aliyovaa Rihanna inaweza kuwa imetengenezwa na kitenge. Kinachofurahisha zaidi ni kuwa nguo hiyo aliiva alipotembelea ikulu ya White House.
1415665003184_wps_3_heyAbby
Kama haitoshi Rihanna alitembelea mjengo huo unaoheshimiwa zaidi dunia akibeba uhusika wa Olivia Pope kwenye tamthilia ya Scandal. Kerry Washington ndiye anayeigiza uhusika wa Olivia kwenye tamthilia hiyo.


Katika picha moja aliyopost Instagram, Riri aliandika: ‘CYRUS!!! LET ME IN!!’
1415665008836_wps_4_West_Wing_Posse_We_wanna_
1415694093272_Image_galleryImage_Rihanna_looks_gorgeous_in
nicki-ema
Bongo5