Simba ni mnyama hatari sana, akiwa na njaa huweza kufanya
jambo gumu ilimradi tu apate chakula, hiki ndicho kimetokea huko Savuti, Chobe
National Park nchini Botswana.
Simba wamemuua na kumla tembo angalia picha hapo chini
Created By Sora Templates & Blogger Templates | Gooyaabi Templates