Video: Mtoto wa tembo apigana na simba 14 na kuwatoa nishai

Mambo sio kila siku yanakwenda sawa, wakati mwingine hubadilika na kushangaza sanaaa tu, mkasa wa mtoto wa tembo huko Zambia aliyepigana n... thumbnail 1 summary
Mambo sio kila siku yanakwenda sawa, wakati mwingine hubadilika na kushangaza sanaaa tu, mkasa wa mtoto wa tembo huko Zambia aliyepigana na simba 14 na kuwashinda huwezi kuuamini kirahisi ukiambiwa.

Lakini nimekuletea video hiyo hapo chini ili ujionee ujasiri wa dogo huyo wa tembo, alikuwa anawahadaa tembo kama midoli vile. hahaha..