Facts: Mambo usiyoyafahamu kuhusu umbile la mnyama Nyumbu

Umbile la Nyumbu (Wild Beast). Nyumbu ana maumbile ya wanyama kadhaa; 1. Miguu ya nyuma na kiuno ni umbile la Fisi; 2. Mkia ni umbile la... thumbnail 1 summary
Umbile la Nyumbu (Wild Beast). Nyumbu ana maumbile ya wanyama kadhaa;
1. Miguu ya nyuma na kiuno ni umbile la Fisi;
2. Mkia ni umbile la Farasi
3. Michirizi ya Pundamilia
4. Pembe ni za Nyati
5. Ndevu ni za Pofu
6. Nywele za mgongoni ni za Pundamilia.
7. Nyumbu kwa jina lingine anaitwa "Zero Brain". Hii inatokana na tabia yake ya usahaulifu. Kwa mfano: Nyumbu anaweza kuwa anafukuzwa na Simba, akikuta majani mazuri anajisahau kuwa anafukuzwa anasimama na kuanza kula majani.

Very amazing story!

JF