Maadhimsho ya wiki ya usafiri wa anga duniani yanayoendelea jijini Dar

Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Miundombinu na Mawasiliano Serikali ya Mapinduzi Zanzib... thumbnail 1 summary
02
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Miundombinu na Mawasiliano Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dk.Juma Akir (kushoto) Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga(TCAA)Charles   Chacha  na mjumbe wa Bodi wa TCAA Yussuf Mohammed Ali wakimsikilza kwa makini Meneja Mipango na Tathimini wa  Mamlaka ya Viwanja vya ndege Tanzania (TAA) mhandisi Mbila Mdemu wakati walipotembelea banda la TAA lililopo kwenye maonyesho ya  wiki ya usafiri wa anga Duniani  yanayofanyika  kwenye viwanja vya Makao makuu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) .jijini Dar es Salaam.
03
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Miundombinu na Mawasiliano Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dk.Juma Akir akimsikiliza kwa makini Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA), Bw. Charles Chacha wakati alipotembelea kwenye maonyesho ya  wiki ya usafiri wa anga Duniani  yanayofanyika  kwenye viwanja vya Makao makuu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) .jijini Dar es Salaam:” Kauli mbiu ikiwa ni “ Miongo saba ya ushirikiano wa maendeleo ya Usafiri wa Anga na kusherekea miaka Sabini ya Mkataba wa Kimataifa wa Chikago. Kulia ni  Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya wiki ya usafiri wa anga , Mtesigwa Maugo na  Mjumbe wa Bodi wa TCAA Yussuf Mohammed Ali.
04
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Miundombinu na Mawasiliano Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dk.Juma Akir akisiitiza jambo kwa Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya wiki ya usafiri wa anga, Mtesigwa Maugo wakati alipotembelea kwenye maonyesho ya  wiki ya usafiri wa anga Duniani  yanayofanyika  viwanja vya Makao makuu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) .jijini Dar es Salaam,Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga(TCAA)Charles   Chacha  na  Mjumbe wa Bodi ya TCAA Yussuf Mohammed Ali.
05
Baadhi ya wadau  wa  Mamlaka yaUsafiri wa Anga Tanzania (TCAA) wakiwa kwenye warsha inayohusu sekta ya  usafiri wa Anga nchini ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya usafiri wa anga Duniani inayofanyika kawenye viwanja vya Makao makuu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA).
06
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Miundombinu na Mawasiliano Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dk.Juma Akir na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga(TCAA)Charles   Chacha wakati alipotembelea kwenye maonyesho ya  wiki ya usafiri wa anga Duniani  yanayofanyika  kwenye viwanja vya Makao makuu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) .jijini Dar es Salaam:” Kauli mbiu ikiwa ni “ Miongo saba ya ushirikiano wa maendeleo ya Usafiri wa Anga na kusherekea miaka Sabini ya Mkataba wa Kimataifa wa Chikago.