Jitihada hizi za Tanzania kutangaza utalii kwa kupitia soka nimezikubali sana, mdogo mdogo tutafika tu. watazame wachezaji wa timu ya Sunderland wakipasha misuli ndani ya uzi wenye matangazo ya kuhamasisha watalii kuitemelea Tanzania na kushuhudia vivutio mbalimbali