TAASISI ZA NPS NA TYCEN ZAWAKUTANISHA VIJANA KWENYE MKUTANO WA MABADILIKO YA TABIANCHI

Picha ya pamoja ya washiriki wa mkutano wa Vijana wa Mabadiliko ya Tabianchi uliofanyika kwenye ukumbi wa Eco Sanaa, Mikocheni Jijini Dar... thumbnail 1 summary
Picha ya pamoja ya washiriki wa mkutano wa Vijana wa Mabadiliko ya Tabianchi uliofanyika kwenye ukumbi wa Eco Sanaa, Mikocheni Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo umeandaliwa na Global Power Shift Tanzania Chapter (NPS) kwa kushirikiana na Tanzania Youth Cultural Exchange Network (TYCEN)


Afisa Mwandamizi Mazingira, Abela Muyungi kutoka Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) akifafanua jambo wakati wa mkutano huo
<!--[if gte mso 9]>

Mratibu wa Mtandao wa mabadiliko ya Tabianchi CAN Tanzania, Sixbert Mwanga akitoa mada wakati wa mkutano wa vijana wa mazingira

 Baadhi ya washiriki wakifurahia jambo wakati wa mkutano huo uliowakutanisha vijana kutoka kwenye taasisi na mashirika mbalimbali yanayopambana na mabadiliko ya tabianchi.

 Baadhi ya washiriki wakifuatilia kwa makini mada wakati wa mkutano huo uliowakutanisha vijana kutoka kwenye taasisi na mashirika mbalimbali yanayopambana na mabadiliko ya tabianchi.
Baadhi ya washiriki wakifuatilia kwa makini mada wakati wa mkutano huo
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakifuatilia mada