Flaviana Matata kushiriki kwenye Tangazo la vivutio vya Tanzania litakalorushwa na CNN America na BBC World

Mwanamitindo wa Tanzania aishiye na kufanya shughuli zake nchini Marekani, Flaviana Matata ataonekana kwenye tangazo la TV la vivutio vya... thumbnail 1 summary
Mwanamitindo wa Tanzania aishiye na kufanya shughuli zake nchini Marekani, Flaviana Matata ataonekana kwenye tangazo la TV la vivutio vya Tanzania, ambalo linatarajiwa kurushwa kupitia vituo vya Televisheni vikubwa duniani, CNN na BBC.
flaviana_matata
Taarifa hiyo imetolewa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kupitia Twitter.
matata
“Flaviana Matata kushiriki Tangazo la vivutio vya Tanzania litakalorushwa CNN America na BBC World”
Flavianna Matata amepost tweet hiyo kwenye akaunti yake ya Instagram na kuandika:
“God’s time is the best time #ProudlyTanzanian.”