UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 15/01/2015.

WIZARA YA UCHUKUZI                              MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@me... thumbnail 1 summary


WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 15/01/2015.

[Mikoa ya Mbeya, Iringa Njombe na Ruvuma]:
[Mikoa ya Rukwa na Morogoro(Kusini)]:
[Mikoa ya Mtwara na Lindi]:

Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.
[Mikoa ya Tabora na Kigoma]:
[Mikoa ya Dodoma  Singida]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Mara, Shinyanga na Mwanza]:
[Mikoa ya Geita na Kagera]:
Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro(Kaskazini)]:
[Mkoa wa Tanga, Visiwa vya Unguja na  Pemba]:
[Mikoa ya Kilimanjaro,  Arusha na  Manyara]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.





TAHADHARI
 UPEPO MKALI WENYE KASI INAYOZIDI KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOZIDI MITA 2 VINATARAJIWA KATIKA UKANDA WOTE WA PWANI YOTE.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
31°C
15°C
12:34
12:46
D'SALAAM
33°C
25°C
12:17
12:43
DODOMA
32°C
22°C
12:32
12:56
KIGOMA    
28°C
22°C
12:57
01:19
MBEYA
27°C
15°C
12:36
01:10
MWANZA
28°C
20°C
12:49
01:00
TABORA
30°C
21°C
12:45
01:07
TANGA
34°C
23°C
12:20
12:42
ZANZIBAR
33°C
26°C
12:17
12:43

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kaskazini-Mashariki  kwa  kasi ya km 40 kwa saa kwa
Pwani  ya  Kaskazini  na kutoka Kaskazini kwa  kasi ya km 50 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa.

Matazamio kwa siku ya Jumamosi: 17/01/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 15/01/2015.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.