UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 27/01/2015.

WIZARA YA UCHUKUZI                              MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@me... thumbnail 1 summary


WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 27/01/2015.


[Mikoa ya Mtwara ,Ruvuma, Kigoma, Rukwa na Katavi]:
[Mikoa ya Mbeya, Iringa, Njombe na Morogoro (Kusini)]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Tabora, Geita na Kagera]:
[Mikoa ya Mara, Shinyanga na Mwanza]:
Hali ya mawingu kiasi na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Dar es Salaam, Tanga na Pwani]:
[Mikoa ya Lindi na Morogoro (Kaskazini)]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
                                                                                                
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
30°C
12°C
12:38
12:52
D'SALAAM
33°C
24°C
12:21
12:47
DODOMA
29°C
19°C
12:37
12:59
KIGOMA    
30°C
21°C
01:02
01:22
MBEYA
26°C
14°C
12:41
01:13
MWANZA
29°C
19°C
12:53
01:05
TABORA
29°C
18°C
12:50
01:10
TANGA
32°C
25°C
12:25
12:45
ZANZIBAR
33°C
24°C
12:21
12:47

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kaskazini-Mashariki, kwa  kasi ya km 40 kwa saa kwa
    Pwani  ya  Kaskazini  na kutoka Kaskazini kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.
                        
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa kiasi hadi Makubwa.

Matazamio kwa siku ya Alhamisi: 29/01/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 27/01/2015.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.