Utafiti: Matangazo ya barabarani yenye wasichana waliovaa kimitego huwachanganya madereva

Matangazo ya barabarani (billboards) yenye picha za wanawake waliovaa nguo za mitego huwachanganya madereva na yanaweza kusababisha ajali... thumbnail 1 summary
Matangazo ya barabarani (billboards) yenye picha za wanawake waliovaa nguo za mitego huwachanganya madereva na yanaweza kusababisha ajali, utafiti umesema.
ab1b9647-90a1-4e98-807f-d15b8c1e26b8Wallpaper2
Watafiti kwenye chuo kikuu cha Alberta wamebaini kuwa matangazo yenye picha za aina hizo huathiri tabia za uendeshaji.

Utafiti huo ulionesha kuwa matangazo ya aina hiyo yana madhara ikiwemo kuhatarisha usalama wa watu, kuongezeka kwa kugongana magari na kusababisha foleni za magari kwenda taratibu.

Imehaririwa na Bongo5
Chanzo: Sunday World