Wafanyakazi wa Uwanja wa Ndege wa Songwe Mbeya wachelewa kufika kazini na abiria wasota nje kwa masaa kadhaa

Songwe international  Reporting time  6.15am Basi la airport staff linafika 07.40 am likiwa na wafanyakazi hivi kweli ndiyo utaratibu wa... thumbnail 1 summary
Songwe international  Reporting time  6.15am Basi la airport staff linafika 07.40 am likiwa na wafanyakazi hivi kweli ndiyo utaratibu wa kazi?

Abiria wakiwa wameduwaa wala hawajui wa kumuuliza kuwa ndege ipo au la  poleni sana abiria wa leo asubuhi
Foleni ya mabegi hakuna wa kukagua  kazi ipo jee huu ni uungwana? kuwasotesha Abiria namna hii?  chanzo Mbeyayetu