Picha: Tour guides wawabeba watalii mabegani, kama watumwa walivyowabeba mabwana, huu ni utalii au utumwa!

Nimeiangalia sana picha hapo chini, sikuelewa, ni utalii wa aina gani huu, kweli tunahitaji pesa lakini ndio kwa namba hii? hapana, tukie... thumbnail 1 summary
Nimeiangalia sana picha hapo chini, sikuelewa, ni utalii wa aina gani huu, kweli tunahitaji pesa lakini ndio kwa namba hii? hapana, tukiendekeza hela tutauenzi hata utumwa wa kikoloni. tazama mwenyewe labda utakuwa na mtazamo tofauti.