Msanii Vanessa Mdee ashiriki kwenye wimbo wa kampeni dhidi ya mauaji ya tembo Afrika Mashariki

Vanessa Mdee ameungana na wasanii wengine wa Afrika Mashariki wakiwemo Juliani wa Kenya, Emmanuel Jal wa Sudan na Syssi Managa wa Congo Br... thumbnail 1 summary
Vanessa Mdee ameungana na wasanii wengine wa Afrika Mashariki wakiwemo Juliani wa Kenya, Emmanuel Jal wa Sudan na Syssi Managa wa Congo Brazzaville kwenye wimbo wa kampeni maalum dhidi ya mauaji ya tembo iitwayo, Ndovu Zetu.
11007977_1390306324617476_293528386_n
Kuanzia kushoto: Syssi Managa, Emmanuel Jal, Vanessa Mdee na Juliani
11024358_439931619488290_1575860977_n
Pia wasanii hao pamoja na kundi la Sauti Sol walitumbuiza kwenye Ndovu Zetu Concert kwenye viwanja vya burudani vya umoja wa mataifa jijini Nairobi.
11024413_1017895144904845_1051753981_n
Wasanii hao walishoot video ya wimbo unaohamasisha ulindaji wa wanyama husasan tembo. Wimbo huo unaitwa Tusimame.
Chanzo: Bongo5