UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 17/03/2015.

WIZARA YA UCHUKUZI                              MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@me... thumbnail 1 summary


WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 17/03/2015.
[Mikoa ya Mtwara, Lindi na Morogoro(kusini)]:
[Mikoa ya Mbeya, Iringa, Ruvuma na Njombe]:

Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.

[Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro (kaskazini)]:
[Mikoa ya Kigoma, Tabora, Katavi na Rukwa]:
[Mikoa ya Mwanza, Geita, Bukoba na Simiu]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mkoa wa Tanga,pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba ]:
[Mikoa ya Singida, na Dodoma]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Shinyanga na Mara]:
Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

ANGALIZO:
VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MIKOA YA KIGOMA, GEITA, MWANZA, SHINYANGA NA UKANDA WA PWANI YA KUSINI.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
30°C
15°C
12:42
12:47
D'SALAAM
31°C
23°C
12:29
12:38
DODOMA
30°C
20°C
12:43
12:52
KIGOMA     
33°C
21°C
01:07
01:14
MBEYA
23°C
14°C
12:52
12:59
MWANZA
32°C
20°C
12:59
01:01
TABORA
31°C
18°C
12:55
01:03
TANGA
34°C
25°C
12:30
12:38
ZANZIBAR
31°C
25°C
12:29
12:38

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa; kutoka Kusini-Mashariki Kwa Pwani
                                                      ya Kaskazini na kutoka Mashariki Kwa Pwani ya Kusini

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Madogo.

Matazamio kwa siku ya Alhamisi: 19/03/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 17/03/2015.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.