UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 18/05/2015.

WIZARA YA UCHUKUZI                              MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@mete... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 18/05/2015.

[Mikoa ya Mara, Geita, Kagera na Mwanza]:
[Rukwa, Mikoa ya Shinyanga na Kigoma]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:

Hali ya Mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua

[Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi  katika maeneo machache na vipindi vya jua

[Mikoa ya Ruvuma, Tabora, Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Mbeya, Katavi, Iringa na Njombe]:
[Mikoa ya Morogoro, Mtwara na Lindi]:


Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
22°C
15°C
12:31
12:29
D'SALAAM
32°C
22°C
12:26
12:12
DODOMA
29°C
18°C
12:38
12:28
KIGOMA    
29°C
21°C
01:01
12:53
MBEYA
25°C
13°C
12:51
12:33
MWANZA
29°C
21°C
12:44
12:44
TABORA
30°C
17°C
12:49
12:41
TANGA
30°C
24°C
12:24
12:16
ZANZIBAR
30°C
25°C
12:26
12:12

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini kwa kasi ya km 40 kwa saa kwa Pwani yote.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa.

Matazamio kwa siku ya Jumatano: 20/05/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 18/05/2015.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.