ARUMERU WAPATA MAFUNZO YA KUKABILI MAAFA YATOKANAYO NA MABADILIKO YA TABIANCHI

  Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine, Dkt. Silvia Materu akitoa mafunzo juu ya mabadiliko ya tabianchi kwa wajumbe wa kamati za m... thumbnail 1 summary
 Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine, Dkt. Silvia Materu akitoa mafunzo juu ya mabadiliko ya tabianchi kwa wajumbe wa kamati za maafa za kata ya Nkoarisambu, wilayani Arumeru mkoani Arusha, mafunzo hayo yameratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia mradi wa  Kuimarisha mfumo wa habari za hali ya hewa na mifumo ya tahadhari ya mapema nchini,  Tarehe 12 Juni, 2015. 
 Mwezeshaji kutoka Wizara ya maji, Diana Kimbute akifafanua umuhimu wa vifaa vya kisasa vya kupima viwango vya maji na kutoa taarifa za hali ya hewa wakati wa mafunzo yautekelezaji mradi wa Kuimarisha mfumo wa habari za hali ya hewa na mifumo ya tahadhari ya mapema nchini, kwa kamati za maafa za kata ya Nkoarisambu, wilayani Arumeru mkoani Arusha, kulia kwake ni Mwakilishi wa Bodi ya Maji Bonde la Pangani, Vendelin Basso na kushoto ni mtaalam kutoka bonde hilo, William Luanda, mafunzo hayo yameratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu Tarehe 12 Juni, 2015
 Mtaalamu wa masuala ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Tanzania, Bwire Masinde akitoa mafunzo juu ya mabadiliko ya tabianchi kwa wajumbe wa kamati za maafa za kata ya Nkoarisambu, wilayani Arumeru mkoani Arusha, mafunzo hayo yameratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia mradi wa  Kuimarisha mfumo wa habari za hali ya hewa na mifumo ya tahadhari ya mapema nchini,  Tarehe 11 Juni, 2015.
 Washiriki wa mafunzo ya utekelezaji mradi wa Kuimarisha mfumo wa habari za hali ya hewa na mifumo ya tahadhari ya mapema nchini, kutoka kamati za maafa za kata ya Nkoarisambu, wilayani Arumeru mkoani Arusha, wakiandika maudhui ya mafunzo hayo yaliyoratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu, wa kwanza ni, Elieka Akyoo, Tarehe 12 Juni, 2015.
 
Washiriki wa mafunzo ya utekelezaji mradi wa Kuimarisha mfumo wa habari za hali ya hewa na mifumo ya tahadhari ya mapema nchini, kutoka kamati za maafa za kata ya Nkoarisambu, wilayani Arumeru mkoani Arusha, wakiandika maudhui ya mafunzo hayo yaliyoratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu, wa kwanza ni, Eliyona Mugure, Tarehe 12 Juni, 2015