UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 01/06/2015.

WIZARA YA UCHUKUZI                              MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@mete... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 01/06/2015.

[Mikoa ya Mara, Mwanza, Shinyanga, Geita na Kagera]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mkoa wa Tanga  pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:

Hali ya Mawingu kiasi, Mvua katika Maeneo machache na vipindi  vya jua.
[Mikoa ya Dar es Salaam, Morogoro na Pwani]:

Hali ya Mawingu kiasi, Mvua nyepesi katika Maeneo machache na vipindi  vya jua.
[Mikoa ya Rukwa, Katavi, Mbeya, Iringa na Njombe]:
[Mikoa ya Kigoma, Tabora, Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Ruvuma, Mtwara na Lindi]:

Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
21°C
16°C
12:35
12:28
D'SALAAM
31°C
22°C
12:30
12:11
DODOMA
27°C
16°C
12:42
12:27
KIGOMA    
30°C
19°C
01:04
12:53
MBEYA
24°C
09°C
12:56
12:31
MWANZA
29°C
18°C
12:47
12:43
TABORA
30°C
15°C
12:52
12:41
TANGA
28°C
22°C
12:27
12:16
ZANZIBAR
29°C
23°C
12:30
12:11

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kusini na Kutoka Kusini kwa Pwani ya Kaskazini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa kiasi.

Matazamio kwa siku ya Jumatano: 03/06/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 01/06/2015.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.