UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 22/06/2015.

WIZARA YA UCHUKUZI                              MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@mete... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 22/06/2015.


[Mikoa ya Mwanza, Geita, Shinyanga, Mara na Kagera]:Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mkoa wa Tanga na Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani]:Hali ya Mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Rukwa, Katavi, Mbeya, Iringa na Njombe]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Manyara na Arusha]:
[Mikoa ya Morogoro, Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Ruvuma,Tabora na Kigoma]:
[Mikoa ya Mtwara na Lindi]:

Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
21°C
10°C
12:38
12:32
D'SALAAM
32°C
23°C
12:34
12:14
DODOMA
27°C
14°C
12:47
12:29
KIGOMA   
30°C
17°C
01:09
12:55
MBEYA
21°C
09°C
01:00
12:34
MWANZA
27°C
16°C
12:50
12:49
TABORA
29°C
13°C
12:57
12:43
TANGA
30°C
24°C
12:32
12:18
ZANZIBAR
30°C
25°C
12:34
12:14

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kusini na Kutoka Kusini kwa Pwani ya Kaskazini.


Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa kiasi.

Matazamio kwa siku ya Jumatano: 24/06/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 22/06/2015.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.