Kaimu
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Angelina Madete (wanne
kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Warsha ya
kupitia Ripoti ya Takwimu za Kemikali zinazokaa muda mrefu katika
Mazingira. Warsha hiyo ya siku moja imefanyika katika Ukumbi wa Mikutano
wa National Institute for Medical Research, jijini Dar es Salaam na
imehusisha wadau kutoka sekta mbalimbali.
Sehemu
ya Washiriki wa Warsha ya kupitia Ripoti ya Takwimu za Kemikali
zinazokaa muda mrefu katika Mazingira wakifuatilia hotuba ya Mgeni Rasmi
Mhandisi Angelina Madete (hayupo pichani) katika hafla ya ufunguzi
iliyofanyika katika Ukumbi wa Medical Reseach.
Washiriki wakiwa katika vikundi wakipitia na kurekebisha Ripoti hiyo.