Picha: Mtazame kiboko huyu alivyojeruhiwa na simba huko Katavi NP

  Kiboko akiwa  amejeruhiwa vibaya baada ya  kushambuliwa na Simba na kukimbilia mtoni katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi Julai 21, 2015... thumbnail 1 summary
 Kiboko akiwa  amejeruhiwa vibaya baada ya  kushambuliwa na Simba na kukimbilia mtoni katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi Julai 21, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri  Mkuu)
Mamba wakiwa katika hifadhi ya Katavi Julai 21, 2015