Meneja wa Mradi wa Kuendeleza Utamaduni Nyanda za Juu Kusini Jan Kuever akitoa taarifa ya Uboreshaji wa Boma la Mkoloni Iringa Kuwa sehemu ya makumbusho na Maonesho ya Kiutamaduni. |
Boma lililokuwa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Iringa linaloboreshwa likwa katika hatua nzuri ya ujenzi. |
Makamu Mkuu wa Chuo Cha Iringa akieleza ushirikiwa wa Chuo katika kudumisha Utamaduni. |
Meneja Msaidizi wa Mradi wa Fahari yetu Bw Jimson Sanga akitolea ufafanuzi juu ya mwenendo wa Mradi. Kwa taarifa kamili na picha zaidi BOFYA HAPA |