UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 04/07/2015.

WIZARA YA UCHUKUZI                              MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@mete... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 04/07/2015.

[Mikoa ya Mara na Kagera]:Hali ya Mawingu kiasi na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Morogoro, Tanga, Dar es Salaam na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Tabora, Kigoma, Mwanza, Shinyanga na Geita]:
[Mikoa ya Dodoma, Singida, Lindi, Mtwara na Ruvuma]:
[Mikoa ya Rukwa, Katavi, Mbeya, Iringa na Njombe]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Manyara na Arusha]:

Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
20°C
15°C
12:41
12:35
D'SALAAM
32°C
18°C
12:36
12:18
DODOMA
26°C
14°C
12:48
12:34
KIGOMA    
30°C
17°C
01:11
12:59
MBEYA
21°C
07°C
01:03
12:37
IRINGA
23°C
13°C
12:51
12:31
MWANZA
26°C
18°C
12:53
12:50
TABORA
29°C
15°C
12:59
12:47
TANGA
29°C
21°C
12:34
12:22
ZANZIBAR
29°C
22°C
12:36
12:18

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 40 kwa saa kutoka Kusini kwa Pwani ya Kaskazini na km 30 kwa saa kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa kiasi hadi Makubwa.

Matazamio kwa siku ya Jumatatu: 06/07/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 04/07/2015.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.