Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo kuanzia saa 3.00 usiku wa leo. tarehe 17/07/2015

WIZARA YA UCHUKUZI                              MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@mete... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 17/07/2015.


[Mikoa ya, Dar es Salaam, Tanga na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi katika Maeneo machache  na vipindi vya jua.


[Mikoa ya Singida, Tabora, Rukwa, Kigoma na Mara]:
[Mikoa ya Lindi, Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Kagera, Mwanza, Shinyanga na Geita]:
[Mikoa ya Morogoro, Njombe, Mbeya na Iringa]:
[Mikoa ya Dodoma, Katavi, Mtwara na Ruvuma]:

Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)

ARUSHA
22°C
11°C
12:42
12:36
D'SALAAM
32°C
19°C
12:37
12:19
DODOMA
26°C
15°C
12:49
12:35
KIGOMA   
30°C
18°C
01:11
01:01
MBEYA
22°C
05°C
01:03
12:39
IRINGA
23°C
10°C
12:52
12:32
MWANZA
30°C
16°C
12:55
12:51
TABORA
29°C
14°C
12:59
12:49
TANGA
29°C
22°C
12:34
12:24
ZANZIBAR
29°C
23°C
12:37
12:19

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa; kwa Pwani yote.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa kiasi.

Matazamio kwa siku ya Jumapili: 19/07/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 17/07/2015.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.