WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24
ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 23/07/2015.
[Mikoa ya Dar es Salaam,
Tanga na Pwani]:
[Mikoa ya Kilimanjaro,
Arusha na Manyara]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi, mvua
nyepesi katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Mwanza, Kagera na
Mara]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi na
ngurumo katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Dodoma, Singida,
Morogoro na Ruvum]: [Mikoa ya Njombe, Mbeya, Iringa,Lindi na Mtwara]:
[Mikoa ya Katavi, Kigoma,
Tabora na Rukwa]:
[Mikoa ya Shinyanga na
Geita]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Kiwango
cha chini cha joto
|
Mawio
(Saa)
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
24°C
|
15°C
|
12:42
|
12:38
|
D'SALAAM
|
32°C
|
20°C
|
12:37
|
12:21
|
DODOMA
|
28°C
|
16°C
|
12:50
|
12:36
|
KIGOMA
|
30°C
|
16°C
|
01:12
|
01:01
|
MBEYA
|
23°C
|
07°C
|
01:03
|
12:41
|
IRINGA
|
25°C
|
14°C
|
12:52
|
12:34
|
MWANZA
|
28°C
|
18°C
|
12:55
|
12:53
|
TABORA
|
30°C
|
15°C
|
01:00
|
12:50
|
TANGA |
29°C
|
22°C
|
12:35
|
12:25
|
ZANZIBAR
|
30°C
|
23°C
|
12:37
|
12:21
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki kwa
kasi ya km 30 kwa saa kwa
Pwani yote.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa
Kiasi.
Matazamio kwa siku ya Jumamosi:
25/07/2015: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 23/07/2015.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.