Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo kuanzia saa 3.00 usiku wa leo. tarehe 08/07/2015.

WIZARA YA UCHUKUZI                              MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@mete... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 08/07/2015.
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Tanga]:

Hali ya Mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Dar es Salaam, Morogoro na Pwani]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Mbeya na Njombe]:

Hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Mara, Kagera, Mwanza, Shinyanga na Geita]:
[Dodoma, Singida, Kigoma na Tabora]:
[Mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma]:
[Mikoa ya Rukwa, Katavi na Iringa]:


Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.


TAHADHARI
UPEPO MKALI UNAOZIDI KM 40 KWA SAA NA MAWIBI MAKUBWA YANAYOZIDI MITA 2.0 VINATARAJIWA KATIKA UKANDA WOTE WA PWANI.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
24°C
15°C
12:41
12:35
D'SALAAM
31°C
22°C
12:36
12:18
DODOMA
28°C
14°C
12:48
12:34
KIGOMA    
32°C
18°C
01:11
12:59
MBEYA
22°C
06°C
01:03
12:37
IRINGA
26°C
13°C
12:51
12:31
MWANZA
31°C
18°C
12:53
12:50
TABORA
30°C
13°C
12:59
12:47
TANGA
30°C
23°C
12:34
12:22
ZANZIBAR
29°C
24°C
12:36
12:18

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini -Mashariki kwa kasi ya km 40 kwa saa kwa Pwani ya yote.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa.

Matazamio kwa siku ya Ijumaa: 10/07/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 08/07/2015.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.