Warsha ya mabadiliko ya tabianchi yafunguliwa mjini Bagamoyo leo

 Mgeni Rasmi,  Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bwana Sazi Salula akifungua Warsha kuhusu mipango ya kuhimili mabadiliko ya Tabia Nc... thumbnail 1 summary
 Mgeni Rasmi,  Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bwana Sazi Salula akifungua Warsha kuhusu mipango ya kuhimili mabadiliko ya Tabia Nchi iliyofanyika mjini Bagamoyo. Warsha hiyo imeandaliwa na Ofisi ya Makamu na kushirikisha Wadau kutoka Taasis mbalimbali za Serikali na Sekta Binafsi.
 Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Mazingira toka Ofisi ya Makamu wa Rais Bwana Richard Muyungi akimkaribisha Mgeni Rasmi kufungua Warsha hiyo. 
 Baadhi ya Wadau waliohudhuria Semina hiyo wakimsikiliza kwa Makini Mgeni Rasmi .
Mgeni Rasmi ,  Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bwana Sazi Salula akiwa katika picha ya pamoja na Wadau waliohudhuria akifungua Warsha kuhusu mipango ya kuhimili mabadiliko ya Tabia Nchi iliyofanyika mjini Bagamoyo.