OFISI YA WAZIRI MKUU NA WADAU WA MABADILIKO TABIA NCHI WAJADILI UBORESHAJI WA MIFUMO YA UTOAJI TAHADHARI ZA AWALI

Mkurugenzi Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brigedia Jenerali, Mbazi Msuya akieleza jambo wakati wa Warsha ya Wadau wa Mab... thumbnail 1 summary
of1
Mkurugenzi Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brigedia Jenerali, Mbazi Msuya akieleza jambo wakati wa Warsha ya Wadau wa Mabadiliko ya Tabia nchi na Uboreshaji wa Mifumo ya utolewaji Tahadhari za awali leo, tarehe, 20 Agosti, 2015, Jijini Dar esalam.
of2
Mtaalam wa Mabadiliko ya Tabia nchi UNDP, Abbas Kitogo akieleza jambo wakati wa Warsha ya Wadau wa Mabadiliko ya Tabia nchi na Uboreshaji wa Mifumo ya utolewaji Tahadhari za awali leo, tarehe, 20 Agosti, 2015, Jijini Dar esalam, kushoto kwake ni Mratibu wa mradi huo, Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw. Alfei Daniel.
of3
Baadhi ya washiriki wa Warsha ya Wadau wa Mabadiliko ya Tabia nchi na Uboreshaji wa Mifumo ya utolewaji Tahadhari za awali nchini wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brig.Jen, Mbazi Msuya (wapili kushoto waliokaa), baada ya ufunguzi wa warsha hiyo leo, tarehe, 20 Agosti, 2015 Jijini Dar esalam.