Mamlaka
ya Hali ya Hewa Tanzania inawatahadharisha wananchi kuhusu
taarifa
inayosambazwa kwenye mitandao ya Kijamii inayohusu uwepo wa upepo
mkali
utakao vuma kwa kasi ya km 123.7 kwa saa na mvua kubwa kwa siku ya
tarehe
29/08/2015 kuanzia saa 7 mchana. Taarifa hii si ya kweli na kuwa
Mamlaka
ya Hali ya Hewa (TMA) haijatoa TAHADHARI hiyo.