Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo kuanzia saa 3.00 usiku wa leo. tarehe 18/08/2015.

WIZARA YA UCHUKUZI                              MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@mete... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 18/08/2015.

[Mikoa ya Mara na Kagera]:

Hali ya Mawingu kiasi, ngurumo katika Maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Mtwara na Lindi]:

Hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi katika Maeneo machache na vipindi vya jua.


[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam na Pwani]:
[Mikoa ya Mwanza,Shinyanga na Geita]:
[Mikoa ya Katavi, Mbeya, Kigoma, Tabora na Rukwa]:
[Mikoa ya Iringa, Njombe na Ruvuma]:
[Mikoa ya Dodoma, Singida na Morogoro]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)

ARUSHA
25°C
10°C
12:40
12:38
D'SALAAM
32°C
20°C
12:33
12:21
DODOMA
27°C
14°C
12:46
12:37
KIGOMA      
31°C
16°C
01:09
01:02
MBEYA
23°C
05°C
12:58
12:42
IRINGA
25°C
12°C
12:48
12:34
MWANZA
30°C
16°C
12:53
12:52
TABORA
30°C
15°C
12:57
12:50
TANGA
29°C
21°C
12:32
12:25
ZANZIBAR
31°C
23°C
12:33
12:21


Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani yote.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Madogo.

Matazamio kwa siku ya Alhamisi: 20/08/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 18/08/2015.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.