Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo kuanzia saa 3.00 usiku wa leo. tarehe 30/08/2015.

WIZARA YA UCHUKUZI                              MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@mete... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 30/08/2015.
[Mikoa ya Kagera na Mara]:


Hali ya Mawingu kiasi, Mvua na ngurumo katika Maeneo machache na vipindi vya jua.


[Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi katika Maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Mwanza na Geita]:


Hali ya Mawingu kiasi, ngurumo katika Maeneo machache na vipindi vya jua.


[Mikoa ya Shinyanga Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Katavi, Mbeya, Iringa, Njombe na Rukwa]:
[Mikoa ya Morogoro, Mtwara, Lindi na Ruvuma]:
[Mikoa ya Kigoma, Tabora, Dodoma na Singida]:
Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)

ARUSHA
24°C
15°C
12:38
12:37
D'SALAAM
30°C
19°C
12:30
12:22
DODOMA
28°C
15°C
12:43
12:37
KIGOMA    
33°C
20°C
01:06
01:02
MBEYA
26°C
08°C
12:55
12:43
IRINGA
26°C
12°C
12:48
12:34
MWANZA
31°C
17°C
12:51
12:51
TABORA
33°C
17°C
12:54
12:50
TANGA
29°C
20°C
12:29
12:25
ZANZIBAR
30°C
20°C
12:30
12:22
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Mashariki kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Madogo.

Matazamio kwa siku ya Jumanne: 01/09/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 30/08/2015.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.